Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA] PDF ePub eBook

Books Info:

Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA] free pdf Utangulizi wa Mwandishi Ili kuendelea kuishi nchini Vietnam, ili uweze kurudi nyumbani ukiwa mzima, unahitajika kupitia mafundisho ya hali ya juu, kupata ozoefu wa mwili na akili na kuwa na uhusiano mwema na wenzako. Kama tungeshindwa kuwa makini, kutotii, kupuuza, au kutozingatia nia yetu kuu mahali pale, basi idadi ya kuishi ilipungua kwa kiasi kikubwa. Niamini nikisema, kuna mambo mengi yalituzuia. Baadhi yetu tulianza kutumia madawa ya kulevya, unywaji wa pombe, kushiriki ngono kihorera, haya yote katika harakati ya kutafuta maisha ya kupendeza, hatari nyingine ilikua inatukondolea macho, hata kabla twende vitani kupigana na makali ya adui zetu, kabla tuwapate nyoka, magonjwa, na wanyama wa pori walioishi katika maeneo haya Kitabu hiki kinaelezea matukio ya kusisimua ambayo nilipitia mimi mwenyewe, mafunzo niliyopata, nilivyopata uzoefu na kuwa na uhusiano mwema na wenzangu, nikiwa mwanajeshi wa Marekani katika kikosi cha 75 cha wanahewa wa kupiga doria mnamo mwaka wa 1969 na 1970, tukifanya upelelezi katika maeneo ya adui zetu. Ni mwaka wa 1971, nikihudumu kama mshauri wa washika doria wa kikosi cha pili milimani, ndani ya msitu katika eneo lililopakana na kambi ya sita katika kijiji cha Plei Mrong, Kusini mwa Vietnam kupakana na nchi ya Cambodia. Jukumu langu lilikuwa kufundisha kikosi cha Mountain Yard na wanajeshi wa Vietnam kuhusu mbinu za kivita na jinsi ya kuwahamisha wanakijiji walioathiriwa na vita. Matukio haya yatakutoa katika vita vya kimwili nchini Vietnam hadi kwenye vita vya kiroho vinavyoendelea kila siku kwa ajili yako. Maswali mengi kuhusu ulimwengu wa kiroho yatapata majibu na imani yako itachukua mwelekeo mpya. Ombi langu ni kwamba, kupitia kitabu hiki, utapata mtazamo mpya kuhusu vita vinavyoendelea kila siku kati ya wema (Mungu) na ubaya (Shetani) kwa ajili ya nafsi yako, wewe binafsi. Kwa hivyo tulia na ufurahie kisa hiki kifupi, ingawa kina uzito wake. Lengo langu ni kuwa ukimaliza kukisoma kitabu hiki, utakuwa umemfahamu kabisa mshindi wa Medali ya Heshima ambaye ni Mwokozi Yesu Kristo. Yesu anakupenda na anataka kuwa na uhusiano mwema na wewe, uhusiano utakao leta mabadiliko kwa nafsi yako, kutoka kiumbe ulicho sasa hadi kiumbe kipya. Roho yako ndio msingi wa kitabu hiki. Mwandishi Danny Clifford

About Danny Clifford

Sad to say, currently we simply cannot give you details about the Author Danny Clifford. However, this does not necessarily mean we don't work on her behalf assortment. In addition we question that you assist us to with this make a difference. Should you have sparetime and desire will immensely value in the event you share with us all the information. As soon as getting this kind of opinions and information coming from users concerning the Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA] Writer Danny Clifford, most of us very first her look at. After we make certain that just about all true, merely article the idea. Many of us see why assist and also thanks before hand.

Details Book

Author : Danny Clifford
Publisher : Createspace Independent Publishing Platform
Data Published : 03 November 2014
ISBN : 1502763397
EAN : 9781502763396
Format Book : PDF, Epub, DOCx, TXT
Number of Pages : 76 pages
Age + : 15 years
Language : English
Rating :

Reviews Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA]17 Comments Add a comment
Related eBooks Download


 • Wacha Mungu Wa Bibi Kilihona [SWA] free pdfWacha Mungu Wa Bibi Kilihona [SWA]

  Ni katika mwaka wa 1895. Kilihona alipokuwa msichana wa miaka kumi na tatu. tayari "amekwishagunduliwa" na wazazi wenye wavulana kama mchumba wa kufikiria kuposea watoto wao na uzuri wake tayari umetungiwa nyimbo na wacheza enanga vijana wa sehemu za kwao..


 • My PlayStation Vita free pdfMy PlayStation Vita

  Step-by-step instructions with callouts to PlayStation Vita images that show you exactly what to do. Help when you run into problems with your PlayStation Vita. Tips and Notes to help you get the most from your PlayStation Vita..


 • La Dolce Vita free pdfLa Dolce Vita

  A sweet life full of pleasure and indulgence. 'La Dolce Vita' was a phrase that entered popular usage following the success of the 1960 film La Dolce Vita written and directed by Federico Fellini and starring Marcello Mastroianni..


 • La Dolce Vita free pdfLa Dolce Vita

  A sweet life full of pleasure and indulgence. 'La Dolce Vita' was a phrase that entered popular usage following the success of the 1960 film La Dolce Vita written and directed by Federico Fellini and starring Marcello Mastroianni..


 • Three Eleventh-Century Anglo-Latin Saints' Lives : Vita S. Birini, Vita E ... free pdfThree Eleventh-Century Anglo-Latin Saints' Lives : Vita S. Birini, Vita E ...

  This volume contains comprehensive and scholarly editions of three Anglo-Saxon saints' lives: Birinus of Dorchester-on-Thames. Kenelm of Winchcombe. and Rumwold of Buckingham..


 • Swahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA] free pdfSwahili - Katika Eneo La Adui Kuokolewa Na Silaha YA Siri [SWA]

  . Utangulizi wa Mwandishi Ili kuendelea kuishi nchini Vietnam, ili uweze kurudi nyumbani ukiwa mzima, unahitajika kupitia mafundisho ya hali ya juu, kupata ozoefu wa mwili na akili na kuwa na uhusiano